image description
# 212485
USD 33.00 (Book in Stock, will be dispatched ASAP)
- +

Uwazi Na Ukweli : Rais wa Watu Azungumza na Wananchi : Kitabu cha Pili (2nd Book)

Author :  Benjamin W. Mkapa

Product Details

Country
Tanzania
Publisher
Mkuki na Nyota Publishers, Dar es Salaam, Tanzania
ISBN 9987686761
Format PaperBack
Language Kiswahili
Year of Publication 2004
Bib. Info x, 194p.
Product Weight 266 gms.
Shipping Charges(USD)

Product Description

Katika kitabu hiki cha pili kwenye mfululizo wa vitabu vinavyokusanya hotuba zake za kila mwisho wa mwezi (cha tatu kinaandaliwa), Rais Benjamin Mkapa anazungumzia matukio mema na mabaya ya mwaka 2002, pamoja na hatua za maendeleo zilizopigwa na taifa katika nyanja za kisiasa, kijamii na kiuchumi. Rais Mkapa anaeleza kwa kina maana na athari za utandawazi kwetu kama taifa na kwa watu binafsi. Aidha anaendelea kueleza, kufafanua na kutetea sera ya ubinafsishaji na kuonyesha matunda ya sera hiyo bila kupuuza sokomoko kama lile lililofuatia hatua ya kubinafsisha shirika la TANESCO. *** This series is a key record of the Presidency of Benjamin Mkapa of Tanzania, who held office from 1995-2005. From 2001 he instituted monthly TV and radio addresses to the Nation on various topics of national, political, social and economic interest. The addresses in these collections are organised chronologically.

Product added to Cart
Copied