image description
# 657820
USD 25.00 (Book in Stock, will be dispatched ASAP)
- +

Ndege-Maji Ufukweni : Mkusanyiko wa Hadithi kwa Vijana wa Afrika

Author :  Elias Mutani

Product Details

Country
Tanzania
Publisher
E&D Vision Publishing, Tanzania
ISBN 9789987735747
Format PaperBack
Language kiswahili
Year of Publication 2019
Bib. Info iv, 260p.
Product Weight 300 gms.
Shipping Charges(USD)

Product Description

Hadithi hizi kutoka bara la kale zaidi duniani lenye idadi kubwa ya vijana zinahusu mambo mbalimbali toka yale ya njozi za Afrika nyingine inavyoweza kuwa;ushuhuda wa vijana kutoka vitani;siri ya kifo na maswali ya kila siku kuhusu familia,urafiki na ngono.Licha ya mawanda mapana ya mada,hadithi katika mkusanyiko huu wa kwanza wa kihistoria wa hadithi za Vijana wa Afrika zimesimuliwa kwa sauti ambayo kijana au yeyote aliyewahi kuwa kijana anaielewa.Ni sauti za uthubutu,wakati mwingine zimejaa mashaka,lakini daima zinaongelea ulimwengu unaowazunguka.

Product added to Cart
Copied