image description
# 835579
USD 20.00 (Book in Stock, will be dispatched ASAP)
- +

Najivunia Kuwa Mnandi

Author :  Ishamel Rono Nicodemus

Product Details

Country
Kenya
Publisher
African Ink Publishers, Kenya
ISBN 9789914995985
Format PaperBack
Language Swahili
Year of Publication 2021
Bib. Info v, 107p.
Product Weight 200 gms.
Shipping Charges(USD)

Product Description

Baada ya kuchinjwa, matumbo hukaguliwa na iwapo hakuna ishara yoyote ya ugonjwa, sherehe hutangazwa kuwa njema. Iwapo kondoo atapatikana na ishara ya ugonjwa, hii ikiwa nadra kwa kuwa umakinifu uliwekwa unapochaguliwa, mwingine hutakaswa na kuchinjwa tena. Rafiki zake bwana harusi wanapopeana habari njema, wazazi na wale kina mama wa ubatizo hunyunyiza maziwa na pombe...

Product added to Cart
Copied